BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Andy Burnham ateuliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza
Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Andy Burnham, amesema uteuzi wake ni "wakati wa kutafakari na kujenga azma mpya ya kurejesha utulivu Uingereza"
Kombe la Dunia 2026: Mshindi na timu zingine zinapata kiasi gani?
Pesa za zawadi zimegawanywa katika makundi mawili, zawadi kutokana na uchezaji na usaidizi wa kifedha.
Je, Israel iko karibu kuanzisha kambi ya kijeshi huko Somaliland?
Matamshi ya Rais wa Somaliland Abdulrahman Mohamed Abdullahi Araujo katika ziara yake mwezi Juni nchini Israel kuhusiana na uwezekano wa kuanzisha kituo cha kijeshi cha Israel katika eneo hilo yamezua mjadala mkubwa.
Je, Urusi ina wasiwasi kuhusu jitihada za Uturuki za kudhibiti Bahari Nyeusi?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, anasema kuwa Ankara itachukua jukumu la kuongoza na kusimamia vipengele vya uhakikisho wa usalama wa baharini iwapo Urusi na Ukraine zitafikia makubaliano ya amani.
Historia ya siri ya Freemasons iliyopotea
Nadharia nyingi zimekuwa zikienezwa kuhusu Freemasons. Hata hivyo, historia halisi ya chama hicho nchini Scotland, ambayo ilisahaulika na watu wengi kwa karne nyingi, bado imejificha waziwazi mbele ya macho ya watu.
Hispania mabingwa Kombe la Dunia 2026
Hispania imeichapa Argentina 1-0 na kutawazwa washindi wa Kombe la Dunia kwa mara ya pili.
Mataji 16 katika miaka mitano – kwa nini Uhispania ni nguvu kubwa inayotawala soka
Baada ya kutawazwa mabingwa wa Ulaya miaka miwili iliyopita jijini Berlin, sasa 'La Roja' ni mabingwa wa dunia baada ya kuifunga Argentina bao 1-0 katika fainali ya Kombe la Dunia huko New Jersey siku ya Jumapili.
Tetesi za soka Jumatatu: Arsenal mbioni kumsajili John Stones
Arsenal wanazingatia kumsajili beki wa England mwenye umri wa miaka 32, John Stones, kwa uhamisho wa bure.
Marekani na Iran zashambuliana baada ya wanajeshi wawili wa Marekani kuuawa Jordan
Marekani na Iran zimeendelea kushambuliana kwa siku ya nane mfululizo baada ya wanajeshi wawili wa Marekani kuuawa Jordan
Freemason: Maswali yako yajibiwa
Nadharia za njama na utata zimekuwa zikiligubika kundi la Freemason tangu kuanzishwa kwake, hali iliyochochewa na sifa yao ya kufanya mambo kwa siri;
Alivaa viatu vya kuazima, hakupewa kiatu cha dhahabu: Mfungaji wa magoli mengi zaidi katika Kombe moja la Dunia
Hakupata kiatu cha dhahabu (Golden Boot) kwa kuwa mfungaji bora wa mashindano ya 1958 - badala yake alipewa bunduki na gazeti la Uswidi kwa kuwa ni "mlega shahaba mzuri".
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Jinsi Trump anavyohangaika kumaliza vita na Iran
Baada ya karibu mwezi mmoja wa mazungumzo ya kwenda na kurudi ya kusitisha mapigano, kati ya mataifa hayo mawili, yenye uhasama, Trump na Wamarekani wanaonekana kukabiliwa na changamoto zile zile zilizokuwepo kabla ya Vita na Iran.
Maajabu nane kuhusu papa
Leo hii papa wanapatikana katika karibu kila sehemu ya Bahari, na baada ya mamia ya mamilioni ya miaka, wamekuza sifa za kushangaza.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 20 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 20 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 20 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































