BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Milipuko yaripotiwa karibu na miji ya bandari, huku Iran ikishambulia meli za mafuta za UAE
Rais wa Marekani Donald Trump amesemaingawa mashambulizi yanaendelea kuna uwezekano wa kuafikia makubaliano na Iran.
Marekani inataka nini hasa kutoka kwa Iran?
Marekani inaitaka Iran itangaze hadharani kwamba Mlango wa Bahari wa Hormuz utaendelea kubaki wazi na kuahidi kusitisha mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara.
Vitu vinavyoathiri Wi-Fi yako na jinsi ya kuiboresha
Alex Hills ni mvumbuzi, aliyekuwa mmoja wa watu wa kwanza ulimwenguni kuangazia shida za muunganisho wa Wi-Fi.
Jeshi la wanamaji la Marekani latumia silaha mpya kwa mara ya kwanza dhidi ya Iran
Boti hizi zisizo na nahodha zinazojulikana kama Unmanned Surface Vessels – USV, ni vyombo vya majini vinavyoweza kujiendesha vyenyewe au kudhibitiwa kwa mbali bila kuwa na wahudumu ndani yake.
Je, Urusi inawaajiri watu wenye ushawishi kutoka nchi za Magharibi ili kuitangaza?
Ripoti zinaonyesha kuwa RT unafadhili watu wenye ushawishi kutoka nchi za Magharibi kupitia makampuni ya kati, ili kuonyesha uzuri wa Urusi.
Jinsi ugumba wa wanaume unavyopuuzwa
Kwa sababu matibabu ya uzazi kama upandikizaji wa mimba ama IVF ni kwa ajili ya mwanamke, matibabu ya ugumba mara nyingi yamekuwa yakiwalenga wanawake na kuwatenga wanaume.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Villa waingia kwenye mbio za kumwania Pervis Estupiñán
Aston Villa wanamtathmini Pervis Estupiñán, Bruno Guimarães hauzwi, Inter Milan waachana na kumsajili Trevoh Chalobah.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
'Sina ujasiri alio nao Lissu': Mke wa Lissu aelezea gharama ya mapambano ya kisiasa ya Tanzania kwa familia
Alicia Lissu, mke wa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, anazungumzia athari za kihisia, kifedha, na binafsi zinazotokana na harakati za kisiasa za mumewe, kesi ya uhaini, na kukamatwa kwake mara kwa mara.
Tutadhibiti Mlango bahari wa Hormuz-Trump
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani "huenda ikaudhibiti" Mlango wa Bahari wa Hormuz, akidai kwamba Iran "imevunja" makubaliano.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mwanamume asimulia alivyonusurika shambulio la simba
Wanakijiji wanasema kuwa Kalubhai amelazwa katika hospitali kuu ya Sir Takhtsinhji mjini Bhavnagar, baada ya kupata majeraha mabaya.
'Kutoka kuwa watawa hadi wapenzi wa jinsia moja'
Sasa wanandoa wenye furaha, Francília na Luiza wamedumisha ari yao ya umisionari iliyowasukuma kuingia kwenye nyumba ya watawa ambako walikutana.
Mambo matano yanayoifanya Iran ya sasa kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali
Mazishi ya Khamenei ni ukumbusho mwingine wa mabadiliko yaliyoikumba Iran, lakini uongozi wake mpya unalenga nini?
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Jinsi taarifa za milipuko ya magonjwa zinavyoathiri afya ya akili na namna tunavyofikiri
Watu wengine kwa asili huwa na hofu kubwa zaidi ya magonjwa na hivyo huwa nyeti zaidi kwa taarifa zinazohusiana na maambukizi. Wengine huonyesha mwitikio mdogo na hawaathiriki sana na taarifa kama hizo.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 15 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 14 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 14 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 14 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































