BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja , Tishio jipya la Trump dhidi ya Iran lafufua hofu ya vita mpya Ghuba ya Uajemi
Wasiwasi umeongezeka baada ya Trump kutishia tena kuzindua "Operesheni Epic Fury nyingine ndogo" baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula uliopangwa kufanyika Jumanne, akirejelea operesheni ya pamoja ya Marekani na Israel iliyoanza Februari 28.
Kwa nini Wasyria wanazidi kuwa maskini tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad?
Bei za karibu kila kitu, ikiwemo huduma za kijamii na bidhaa muhimu za kila siku, zimepanda. Ongezeko la ghafla la bei za mafuta limechukuliwa na wengi kama ishara kuwa serikali haifahamu hali halisi ya maisha ya wananchi.
Aphrodite: Mungu wa kike aliyebadilisha namna mwili wa mwanamke unavyooneshwa katika sanaa
Uchi wa Aphrodite ulikuwa wa aina tofauti. Ukiitazama kwa makini, unaweza kuona jinsi ulivyotofautiana na namna miili ya wanaume ilivyooneshwa ikiwa uchi katika sanamu za Ugiriki ya kale
Uganda yaanza kuwaondoa wanajeshi wake Somalia baada ya miaka 20
Kikosi cha kwanza chenye maafisa 109 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kinatarahiwa kuondoka mjini Mogadishu siku ya Ijumaa.
Ziwa la ajabu linalowageuza wanyama kuwa mawe
Uzuri wa Ziwa Natron umeambatana na mazingira makali yanayolifanya kuwa mojawapo ya maeneo ya kipekee zaidi Afrika.
Ndoto ya Madrid ilivyogeuka mtihani kwa Alexander-Arnold
Alexander-Arnold Sasa ni Chaguo la Tatu Real Madrid - Mustakabali wake wko wapi?
Kaka wa Tundu Lissu kuzikwa baada ya hukumu ya kesi ya uhaini
“Tumepanga mazishi ya kaka Alute yatafanyika Singida. Tunatarajia tutasukuma mbele mazishi ili Ijumaa (Novemba 6, 2026), wanafamilia tuweze kuwepo Dar es Salaam kuhudhuria hukumu ya kesi ya ndugu yetu Tundu,” amesema mwanafamilia.
Alizirai kazini, vipimo vikafichua tatizo ambalo hakulitarajia
Vitamini D husaidia kudumisha afya ya mifupa, meno na misuli kwa kudhibiti virutubisho muhimu mwilini.
Tetesi za soka Jumatatu: Man Utd yammezea mate Balde wa Barcelona
Alejandro Balde anaweza kuondoka Barcelona, jambo linalovutia Manchester United. Liverpool imewaorodhesha Murillo na Nico Schlotterbeck kama wagombea wa kuchukua nafasi ya Virgil van Dijk, huku Real Madrid ikimfuatilia kipa Bart Verbruggen.
Kwa nini magenge ya wahalifu nchini Haiti na Kenya yanajiita 'Taliban'?
Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa ilibainisha kuwa zaidi ya watu 5,700 waliuawa au kujeruhiwa katika muda wa miezi tisa kutokana na vurugu zinazohusishwa na makundi yenye silaha au operesheni dhidi yao
Je, Manchester United hatarini kushushwa daraja EPL?
Kwa kasi yake ya sasa ya kukusanya pointi, Manchester United huenda isifikishe hata pointi 30 mwishoni mwa msimu.
Kenya yahoji hatua ya Saudi Arabia kuwawekea raia wake vikwazo vya usafiri
Wizara ya Afya ya Kenya inasema vikwazo hivyo havina msingi, ikisisitiza kuwa maambukizi ya Ebola yamedhibitiwa.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwanini uchaguzi wa katikati ya muhula Marekani ni muhimu kwa Trump?
Tarehe 3 mwezi Novemba, raia wa Marekani watawachagua wajumbe wa Bunge la Congress, ambalo linaundwa na Baraza la Wawakilishi na Seneti.
Netanyahu: Siri ya kurejea madarakani licha ya kushindwa mara kwa mara
Netanyahu anakabiliwa na mtihani mpya baada ya uchaguzi wa Israel wa tarehe 27 Oktoba 2026, uliofanyika baada ya miaka ya vita, wasiwasi kuhusu usalama na mijadala kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
Wakosoaji wa serikali ya Rwanda ambao vifo vyao vimezua maswali
Serikali ya Rwanda imekanusha madai ya kuhusika katika vifo vya wakosoaji wake, lakini baadhi ya matukio hayo yameendelea kufuatiliwa na mashirika ya haki za binadamu kutokana na maswali yaliyoibuliwa kuhusu mazingira ya vifo hivyo.
BBC: Jinsi hospitali zilivyolengwa makusudi na wapiganaji wa RSF Sudan
Uchunguzi wa BBC umebaini ushahidi kwamba wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Rapid Support Forces (RSF) waliharibu mfumo wa huduma za afya wa mji wa el-Fasher.
Israel na Marekani kwenye uchaguzi: Kwa nini dunia nzima inasubiri matokeo?
Matokeo ya chaguzi hizi mbili yanatarajiwa kuwa na athari kubwa si kwa mustakabali wa nchi hizo pekee, bali pia kwa vita vya Iran, usalama wa Mashariki ya Kati na uchumi wa dunia.
PHP ni nini, kwa nini ilisababisha taharuki ya usalama wa mtandao duniani?
Ilichukua uwezo wa akili mnemba (AI) kuyafichua mapungufu, jambo lililosababisha tahadhari ya kimataifa kuhusu usalama wa mtandao.
Kisiwa ambacho kuku ndio 'mabosi': Jinsi kuku wa mwitu walivyotawala Hawaii
Maelfu ya kuku huzurura kwa uhuru katika fukwe zenye mchanga mweupe, nje ya milango ya benki na kwenye maegesho yenye shughuli nyingi. Hakuna anayewamiliki, hakuna anayewafungia kwenye mabanda, na cha kushangaza zaidi, ni nadra kuwaona wakifanywa kitoweo.
Ndani ya mtandao wa siri wa hujuma dhidi ya Putin nchini Urusi
Wanaume wawili wa Urusi wameeleza kazi wanayodai kuifanya kwa siri kusaidia Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Ukraine (GUR) katika vita dhidi ya Urusi. Wanasema wamekuwa wakikusanya taarifa za kijasusi, kufuatilia malengo ya kijeshi na kusaidia operesheni zinazolenga miundombinu na maafisa wa kijeshi wa Urusi.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC3 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Moja kwa moja Dira Ya Dunia2 Novemba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC2 Novemba 2026, 06:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC2 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































