BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Wanafunzi 16 wafariki katika moto wa bweni la shule ya Utumishi Girls, Kenya
Shirika la Msalaba Mwekundu Kenya limesema limefika kwa tukio la moto ulioteketeza bweni katika Chuo cha Wasichana Utumishi kilichopo Gilgil, Kaunti ya Nakuru, ambapo kuna hofu kuwa wanafunzi 16 wamepoteza maisha.
Siku iliomtoa machozi Pep Guardiola
Pep Guardiola alikuwa ametulia chini ya shinikizo la joto kali lililoambatana na mechi yake ya mwisho akiwa kocha wa Manchester City.
Fahamu mpango wa NASA unaojumuisha hatua tatu katika vituo vya mwezi
China pia ina ushindani na Marekani katika mbio za kurudisha wanadamu mwezini.
Israel yatangaza kumuua kamanda wa Hamas baada ya shambulizi la anga Gaza
Shambulizi hilo ni miongoni mwa mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Gaza licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas kuendelea kuwepo.
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon ni mashambulizi makali zaidi tangu usitishaji vita ulipoanza
Wizara ya Afya ya Lebanon ilisema kuwa takribani watu 31 waliuawa katika mashambulizi hayo ya hivi karibuni, wakiwemo watoto kadhaa.
Kwa nini gari lako huenda linakusanya na kutoa taarifa zako binafsi?
Kwa nini gari lako huenda linakusanya na kutoa taarifa zako binafsi?
Kuoga na maji ya barafu hadi kunywa maziwa ya lozi: Siri ya mafanikio ya Mohamed Salah Liverpool
"Nina kila kitu nyumbani. Nyumba yangu ni kama hospitali," amesema Mohammed Salah.
WARIDI WA BBC: 'Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne'
Shirika la afya ya uzazi la Umoja wa Mataifa - UNFPA na Wakfu wa Fistula wanakadiria kuwa visa vipya vya fistula 1,000 hadi 3,000 hutokea nchini Kenya kila mwaka.
Rare Earth: Je, madini haya yataleta maajabu Tanzania?
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
Ndege za kivita za Marekani zaonekana karibu na Cuba, vita vinanukia?
Marekani imeongeza uwepo wake wa kijeshi karibu na Cuba baada ya ndege zake za kijeshi za upelelezi pamoja na droni za kisasa kuonekana zikifanya operesheni katika eneo la Caribbean
Jinsi Mahmoud Ahmadinejad alivyogeuka fumbo la vita Iran
Mwanasiasa huyo mwenye kauli kali kuwa mmoja wa watu ambao maafisa wa Israel walikuwa wakiwataja mara kwa mara kuelezea kile walichokiita "tishio la Iran" kwa dunia.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ni nani anayelinda meli eneo la Ghuba na Bahari ya Shamu?
Je, ni miungano gani maarufu zaidi ya kijeshi kwa sasa inayolinda usafiri wa baharini katika eneo la Mashariki ya Kati?
Raúl Castro akabiliwa na mashataka ya uhalifu lakini chanzo cha migogoro kati ya Cuba na Marekani ni nini?
Cuba iko kwenye misukosuko ya kiuchumi na nishati kufuatia shinikizo la hivi karibuni kutoka kwa utawala wa Donald Trump na kupoteza uungwaji mkono kutoka Venezuela baada ya kuondolewa madarakani kwa kiongozi wa zamani Nicolás Maduro mnamo mwezi Januari.
WARIDI WA BBC: 'Nina sehemu mbili za uke'
Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.
Kiongozi wa ISIS aliyelengwa na Marekani kaskazini mashariki mwa Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alithibitisha tarehe 16 Mei kifo cha afisa mkuu wa Islamic State (IS), Abu Bilal al-Manuki (au al-Mainuki), wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi na Marekani.
DR Congo yafunga kambi ya mazoezi ya Kombe la Dunia kufuatia mlipuko wa Ebola
Maandalizi ya timu ya taifa yamehamishiwa Ubelgiji huku maambukizi ya ugonjwa huo uliosababiisha vifo vya zaidi ya watu 130 ukiendelea yakiendelea kuenea.
Kutoka kukimbia ndoa ya utotoni na 'mzee' hadi kuwa mke wa rais
Maisha binafsi ya mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa kisiasa barani Afrika yamefichuliwa katika mahojiano maalum ya kipekee ya BBC World Service.
Ebola ni nini na kwa nini kuzuia mlipuko huu ni vigumu sana?
Mlipuko wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo unahusisha aina adimu ya virusi na unatokea katika eneo lililoathiriwa na migogoro.
J-10C Fighters: Nini kinazifanya ndege hizi za kivita kuwa hatari zaidi?
Moja ya sababu kubwa zinazofanya J-10C kupewa hadhi ya ndege hatari ni uwezo wake wa kushambulia adui kabla hata ya kuonekana kwenye rada za kawaida.
Kwa nini maambukizi ya kaswende na kisonono yamefikia viwango vya juu barani Ulaya?
Kisonono na kaswende, miongoni mwa maambukizi mengine ya zinaa (STIs), vinafikia viwango vya juu vya rekodi barani Ulaya.
Vinywaji vya kuongeza nguvu vina madhara gani kwa vijana?
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
Injili Klabuni: Mtindo mpya wa kuwavuta vijana katika injili
Mamia ya vijana walijitokeza jijini Nairobi kuhudhuria hafla ya Misa ya tatu {'Third Service',} hafla inayochanganya muziki wa injili, dansi, ibada na burudani katika mtindo mpya wa kuwafikia vijana kupitia imani na muziki wa kisasa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




















































