BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Trump aituhumu Iran kuhusika katika shambulio Saudi Arabia
Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda Iran ilihusika katika shambulio la anga lililolenga bomba kuu la mafuta la Saudi Arabia.
Tetesi za soka Ulaya: Richarlison bado anaweza kuondoka Spurs
Richarlison bado ana ofa licha ya dili kuvunjika, Philippe Coutinho akubaliana na Santos na Manchester United yamfuatilia Adrien Truffert.
Kwa nini kujicheka si jambo zuri kila wakati?
Historia ya ucheshi wa kujidhalilisha imejaa mikanganyiko. Sasa, watafiti wanaanza hatimaye kuelewa kwa undani zaidi athari halisi za kujifanyia mzaha.
Kwa nini Wapalestina wanapeperusha bendera za Marekani juu ya nyumba zao?
Wapalestina wenye uraia wa Marekani katika mji wa Termesaya, kaskazini mashariki mwa Ramallah, wamepandisha bendera ya Marekani juu ya nyumba zao, hatua hiyo inachukuliwa kwa matumaini kuwa itazuia uvamizi wa jeshi la Israel na mashambulizi ya walowezi, au kuilazimisha ubalozi wa Marekani kuingilia kati ili kuwalinda.
Ruto asema kenya iko wazi kwa wageni, awaonya wakenya dhidi ya kuwanyanyasa
Akizungumza katika mkutano mjini Bomet, Ruto amesema wageni kutoka nchi zote, wakiwemo wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na COMESA, wanaruhusiwa kufanya kazi, biashara au uwekezaji nchini Kenya kwa kuzingatia sheria.
Wahouthi 'wadhibiti' kisiwa cha kimkakati kwenye njia muhimu ya meli duniani
Waasi wa Houthi wamedhibiti Kisiwa cha Perim katika Mlango-bahari wa Bab al-Mandab, kulingana na chanzo cha habari.
Lissu hakuandaa mkutano uliomtia matatani - Heche
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche anaendelea kutoa ushahidi wake akiulizwa maswali na Lissu
Je, Korea Kusini inatuma wanajeshi katika Mlango wa Hormuz?
Ndege za doria za baharini aina ya P-8A Poseidon, meli za kutoa msaada na usambazaji pamoja na vikosi vya kutegua mabomu ni miongoni mwa chaguo zinazoweza kutumwa.
Siri ya mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani
Ethel Caterham, mwenye miaka 117, ndiye mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani aliye hai. Makala haya yanaangazia maisha yake pamoja na watu wengine waliowahi kushikilia rekodi hiyo, akiwemo Jeanne Louise Calment aliyefikisha miaka 122.
Mtanzania Clara Luvanga avunja rekodi ya usajili wa soka la wanawake duniani?
Mshambuliaji wa Tanzania Clara Luvanga amejiunga na Washington Spirit akitokea klabu ya Saudi Arabia, Al-Nassr, katika usajili unaoaminika kuwa miongoni mwa usajili wenye gharama kubwa zaidi katika historia ya soka la wanawake.
Je, Trump ataweza kumpa kila Mmarekani dola 5,000 alizoahidi?
Wachambuzi wanahoji iwapo ofa ya mwaka wa uchaguzi iliyotolewa na rais wa Marekani inaweza kutekelezeka, ni halali au inawezekana kumudu gharama zake.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
'Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito'
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Jinsi ubongo wa nzi unavyoweza kuelezea tabia ya binadamu
Watafiti walichora miunganisho milioni 124 kati ya seli zote za neva katika ubongo wa nzi dume.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 14 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 11 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 11 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 11 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































