Tuzo za Grammy 2021 katika picha

Iliyochapishwa

Beyoncé kuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuvunja rekodi kwa kupata tuzo nyingi za Grammy.

Sherehe za tuzo hizo zimetolewa zikiwa na uangalizi wa hali ya juu dhidi ya maambukizi ya corona.

Tuzo ya msanii bora chipukizi Megan Thee Stallion.

"Nilitaka kupendeza sana , nilitaka kufanana na tuzo za Grammy," alisema."