Mwanamuziki Bieber amshangaza mchumba wake hadharani

Maelezo ya sauti, Mwanamuziki Bieber amshangaza mchumba wake
Iliyochapishwa

Mwanamuziki raia wa Canada Justin Bieber, ameonekana nje ya kasri ya Buckingham na gita lake akimuimbia mpenzi wake Hailey Baldwin huko London.

Je, wewe utamchumbia vipi mpenzi wako?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com