Osman Sonko: Waziri Mkuu aliyetimuliwa awa Spika wa Senegal

Maelezo ya video, Osman Sonko: Waziri Mkuu aliyetimuliwa awa Spika wa Senegal
Osman Sonko: Waziri Mkuu aliyetimuliwa awa Spika wa Senegal
Iliyochapishwa

Mwanasiasa mashuhuri wa Senegal, Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 51, amechaguliwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Taifa, siku chache baada ya kuondolewa katika nafasi ya Waziri Mkuu na Rais Bassirou Diomaye Faye.

Mwandishi wa BBC Beldeen Waliaula na maelezo zaidi