BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Trump atishia kushambulia kituo cha Nyuklia cha Iran chini ya Mlima Kalang
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi yake huenda ikalenga hivi karibuni kituo cha chini ya ardhi cha Iran kilichopo chini ya Mlima Kalang, huku akisisitiza kuwa lengo ni nyenzo za nyuklia na si mitambo ya kurutubisha urani pekee.
Khalil al-Hayya: Mfahamu kiongozi mpya wa Hamas, mrithi wa Yahya Sinwar
Akiwa mpatanishi mkuu wa Hamas, Hayya alipata umaarufu wa kimataifa kwa kuongoza ujumbe wa kundi hilo katika mazungumzo ya kusitisha mapigano yasiyo ya moja kwa moja na kukutana na wapatanishi nchini Misri na Qatar.
Namna umri unavyoathiri hamu ya kushiriki tendo la ndoa
"Sababu inayowafanya watu waache kufanya ngono ni ileile inayowafanya waache kuendesha baiskeli. Ima hawawezi tena kuipanda, au hawana baiskeli", asema Profesa Patricia Goodson wa Chuo Kikuu cha Texas A and M.
Kambi ambayo wanajeshi wa Marekani wameuawa na mashambulizi ya Iran
Kambi hiyo ina shughuli za Jeshi la Anga la Jordan, na katika miaka ya hivi karibuni imepata umuhimu wa kikanda katika suala la maendeleo ya usalama wa Mashariki ya Kati.
Mzozo wa Iran: Tunachojua kuhusu shambulio la Marekani dhidi ya Bandar Abbas
Vyombo vya habari vya Iran na maafisa wa eneo hilo wamesema kwamba mashambulizi ya Marekani yalilenga mitambo ya umeme, mitambo ya kuondoa chumvi, madaraja, barabara, na njia za reli kusini mwa Iran.
Tofauti ya viti vya ndege za kivita za Marekani na Urusi
Faida kubwa kwa ndege za kivita za Urusi ni kutoa kipaumbele kwa ushirikiano wa marubani na ndege kuwa na nafasi zaidi wawapo angani.
Iran yakubali pendekezo la usitishaji mapigano la siku 10
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amethibitisha kuwa Tehran imekubali pendekezo la wapatanishi la kusitisha mapigano kwa siku 10, lakini haitatoa maelezo yake kwa sasa.
Tetesi za soka Jumanne: Man Utd, Arsenal zamuwania Kone
Manchester United wanaongoza katika mbio za kumsajili kiungo wa Roma na timu ya taifa ya Ufaransa, Manu Koné.
Kombe la Dunia 2026: Mshindi na timu zingine zinapata kiasi gani?
Pesa za zawadi zimegawanywa katika makundi mawili, zawadi kutokana na uchezaji na usaidizi wa kifedha.
Je, Israel iko karibu kuanzisha kambi ya kijeshi huko Somaliland?
Matamshi ya Rais wa Somaliland Abdulrahman Mohamed Abdullahi Araujo katika ziara yake mwezi Juni nchini Israel kuhusiana na uwezekano wa kuanzisha kituo cha kijeshi cha Israel katika eneo hilo yamezua mjadala mkubwa.
Je, Urusi ina wasiwasi kuhusu jitihada za Uturuki za kudhibiti Bahari Nyeusi?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, anasema kuwa Ankara itachukua jukumu la kuongoza na kusimamia vipengele vya uhakikisho wa usalama wa baharini iwapo Urusi na Ukraine zitafikia makubaliano ya amani.
Andy Burnham ateuliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza
Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Andy Burnham, amesema uteuzi wake ni "wakati wa kutafakari na kujenga azma mpya ya kurejesha utulivu Uingereza".
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Jinsi Trump anavyohangaika kumaliza vita na Iran
Baada ya karibu mwezi mmoja wa mazungumzo ya kwenda na kurudi ya kusitisha mapigano, kati ya mataifa hayo mawili, yenye uhasama, Trump na Wamarekani wanaonekana kukabiliwa na changamoto zile zile zilizokuwepo kabla ya Vita na Iran.
Maajabu nane kuhusu papa
Leo hii papa wanapatikana katika karibu kila sehemu ya Bahari, na baada ya mamia ya mamilioni ya miaka, wamekuza sifa za kushangaza.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 22 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 21 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 21 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 21 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































