Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je, unajua hata wewe unaweza kuwa mmoja ya wana anga wa Nasa?
Je, unajua hata wewe unaweza kuwa mmoja ya wana anga wa Nasa?
Iliyochapishwa
Je, unajua kwamba unaweza kuwa miongoni mwa wanaanga wa Artemis II ya NASA?
Ndiyo, lakini kuna vigezo maalum lazima uvifikie!
Kwa mfano, hutakiwi kuwa mrefu sana wala mfupi sana.
Mwandishi wa BBC Sarafina Robi na taarifa zaidi